Bodi ya Uongozi
Uongozi wa EXCASFETA
Watu wanaoendesha muungano wetu kwa moyo wa huduma.
Yohana Zaya
Mwenyekiti
Msimamizi mkuu wa shughuli zote, mwenye kusimamia utekelezaji wa katiba, na kuwa msemaji rasmi wa kikundi kwa jamii au taasisi nyingine.
MESHACK MALAU
Katibu
Katibu wa EXCASFETA. Anayeshughulikia mawasiliano, uratibu na shughuli zote za kiutendaji za muungano.
GIFT MBUNA
Mhazini
Msimamizi wa Masuala ya Kifedha.
SUZANA BOGHE
Mjumbe
Mjumbe